Mitambo ya matofali ni ghali sana, sasa hivi yapo matanki iliyotengenezwa tayari kwa ajili ya kutengeneza gas, uzuri wake yanahamishika kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kirahisi sana. Na yapo ya aina mbalimbali yapo kwa wafugaji vijijini ambao wana mifugo, yapo kwa watu wa mjini ambao uchafu wa jikoni unatosha kuzalisha gas ya kutosha kupikia familia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.