Fundi wa Madirisha ya Aluminium (Arusha)

Fundi wa Madirisha ya Aluminium (Arusha)

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,943
Reaction score
3,531
Wakuu salama? Nahitaji fundi mzoefu na mwenye bei nzuri ambae anaweza kutengeneza madirisha ya aluminium, naomba msaada wa hata contacts kama inawezekana! natanguliza shukran za dhati
 
Back
Top Bottom