Fundi wa kusmamia nyumba adi itakapoisha

Fundi wa kusmamia nyumba adi itakapoisha

Tafakuru

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
83
Reaction score
33
Hello

Jamani, kwa wale wenye taaluma ya ujenz

Nnahitaji fundi ambae anauwezo wa kuchkua ramani ntakayo mpa na kusmamia ujenzi wa simple house hadi itakapokwisha/

Sifa za muombaji
1. Mzoefu
2. Mwaminifu
3. Proven CV
4. Reasonable cost
5. Mwanaume
6. Awe DSM

Naomba tuwasiliane kama upo
 
Hujipendi wewe. Hii kitu hapa Tanzania kwa sasa ni majanga.

Nina uhakika zitajengwa nyumba mbili, moja ya siri ya Fundi mjenzi(Simple, Nzuri na Imara ) na Nyingine ya Kwako(Complicated lakini Hafifu) zote kutoka kwenye gharama zako mwenyewe!!
Kama unabisha jaribu na Utakuja kutuambia hapa.
 
ni pm nikupe namba ya fundi muaminifu...ambaye atakusaidia
 
Wanajamii, katika pita pita zangu za kutafuta teknolojia ya kisasa ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu,nimekutana na hiyo teknolojia....iangalie,inaonekana ni nafuu....
 

Attachments

Back
Top Bottom