Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,236
Kama wewe ni fundi hodari wa kushona nguo za kiume(mashati na suruali) na huna kazi au hujaajiriwa:-
- Taja sehemu ulipo
- Umri
- Mshahara wa kuanzia