Fundi wa kupaua Nyumba Mwanza na ushauri

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
606
Nauliza nataka nipate ushauri,hivi ukitumia mabati ya vigae/steps bati na ukitumia mabati ya kawaida mfano migongo mipana msouth utofauti wa gharama ya bati na mbao ikoje? Swali la pili kati ya milango ya mninga na mkongo utofauti wa ubora ukoje? Na bei.Nataka nipaue nyumba wiki ijayo mwanza na kuweka milango.Naombeni ushauri
 
Kuhusu mabati ya vigae (max cover) na mabati ya msouth , hakuna tofauti ya mbao za kuezekea. Maana kench/(truss) zitabakia zile zile, na zile fito (purlins) zitabakia zilezile. Kwa hiyo pengine utakutana na utofauti kwenye Bei ya manunuzi ya bati. Kuhusu mninga vs mkongo. Mninga unadumu zaidi kuliko mkongo, wakati huohuo mkongo una texture ya kuvutia zaidi kuliko mninga. Maana grains za mninga wakati mwingine zinayumbayumba saana Tena zenye Kama vidonda/notches . Ova
 
Kwa ushauri wako nitumie mkongo? Ushauri wa bati la vigae na bati la migongo mipana sijakuelewa ushauri wako boss.
 
Natafuta fundi wa kupaua Mwanza, mwaminifu.
 
Kuhusu mabati ya vigae (max cover) na mabati ya msouth , hakuna tofauti ya mbao za kuezekea. Maana kench/(truss) zitabakia zile zile, na zile fito (purlins) zitabakia zilezile. Kwa hiyo pengine utakutana na utofauti kwenye Bei ya manunuzi ya bati. Kuhusu mninga vs mkongo. Mninga unadumu zaidi kuliko mkongo, wakati huohuo mkongo una texture ya kuvutia zaidi kuliko mninga. Maana grains za mninga wakati mwingine zinayumbayumba saana Tena zenye Kama vidonda/notches . Ova
Mimi natofautiana na Fundi mwenzangu kidogo kwa mabati mengine sawa lakini vigae steps lazima parlings (papi) ziongezeke huwezi kuweka mbalimbali mfano cm80. Haya kitaalamu ukitaka yake vizuri yanataka kila step I we na papi.
Halafu kuhusu mbao za milango tumia mninga ila tafuta zenye ubora. Mkongo una kawaida ya kupinda baadae
 
Back
Top Bottom