dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,970 Reaction score 3,585 Nov 25, 2014 #1 Naomba mtu yoyote anayemfaham fundi wa kufanya finishing ya jikon hasa katika kutengeneza makabati na tiles anipatie contacts zake au ani PM, Kuna ukarabati wa kuweka makabati ya jikon na chumban unataka kufanyika ASAP
Naomba mtu yoyote anayemfaham fundi wa kufanya finishing ya jikon hasa katika kutengeneza makabati na tiles anipatie contacts zake au ani PM, Kuna ukarabati wa kuweka makabati ya jikon na chumban unataka kufanyika ASAP
dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,970 Reaction score 3,585 Nov 30, 2014 Thread starter #3 Yaan ndo kusema! Hakuna mtu aliyewahi hata kutengenezewa jiko Arusha anielekeze, waungwana hata directions tu zitasaidia
Yaan ndo kusema! Hakuna mtu aliyewahi hata kutengenezewa jiko Arusha anielekeze, waungwana hata directions tu zitasaidia