Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Dec 3, 2012 #1 wanajamvi, kwa anayejua fundi mzuri wa kutengeneza simu za blackberry, tatizo ni simu iliingia maji ikazima, haiwaki kabisa Naomba kwa anayejua ani PM contacts
wanajamvi, kwa anayejua fundi mzuri wa kutengeneza simu za blackberry, tatizo ni simu iliingia maji ikazima, haiwaki kabisa Naomba kwa anayejua ani PM contacts
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,910 Reaction score 77,175 Dec 3, 2012 #2 Mkuu ina maana hujaipa huduma ya kwanza BB kama kutoa betri,kuinika juani? Ila ngoja waje wajuzi wakuelekeza pia mambo yatakwenda vema.:A S thumbs_up:
Mkuu ina maana hujaipa huduma ya kwanza BB kama kutoa betri,kuinika juani? Ila ngoja waje wajuzi wakuelekeza pia mambo yatakwenda vema.:A S thumbs_up:
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Dec 3, 2012 Thread starter #3 Kennedy said: Mkuu ina maana hujaipa huduma ya kwanza BB kama kutoa betri,kuinika juani? Ila ngoja waje wajuzi wakuelekeza pia mambo yatakwenda vema.:A S thumbs_up: Click to expand... Nimeipa mkuu. . .sa hivi ni kungojea fundi tu. . .
Kennedy said: Mkuu ina maana hujaipa huduma ya kwanza BB kama kutoa betri,kuinika juani? Ila ngoja waje wajuzi wakuelekeza pia mambo yatakwenda vema.:A S thumbs_up: Click to expand... Nimeipa mkuu. . .sa hivi ni kungojea fundi tu. . .
Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 369 Dec 3, 2012 #4 Wakuu hata mimi nina curve haisomi memory card aka media card. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Wakuu hata mimi nina curve haisomi memory card aka media card. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,670 Reaction score 14,647 Mar 5, 2013 #5 simu ikingia maji kupona ni asilimia 30% kwani maji huwa yana tengeza ukungu ambao huwa unakula amakuharibu njia na kushoti vilevile
simu ikingia maji kupona ni asilimia 30% kwani maji huwa yana tengeza ukungu ambao huwa unakula amakuharibu njia na kushoti vilevile
Papaa Kinyani JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 1,457 Reaction score 699 Mar 6, 2013 #6 Nunua nyingine, haitengenezeki hiyo, yangu nililiwa pesa bure kwa makanjanja wa simu