Fundi wa Bizhub Minolta

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
239
195
Wakuu habari ya kwenu? mimi nipo Arusha, ninatafuta fundi wa kunitengezea Konica Bizhub Minolta C. 280. Mwanzo ilikuwa inatoa error fulani mara inapotea lakini siku za karibuni inatoa error 5501, ninaomba fundi yoyote anayezijuahizi printer tuwasiliane ni View attachment 160519 uangalia namna tutakanyo shughuli yenyewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom