Saint
Mimi sio fundi lakini ni utundu tu
Ina drip maji wapi? Kwani ac lazima itowe maji tatizo ikiwa yanadondoka ndani, hapo itakuwa drain imeziba au haiko level kwenye slope ili kufanya maji yamwagike nje, pia kama hubadilishi au kusafisha filter, coil ikiwa chafu au airflow haiko ya kutosha hufanya coil kufanya barafu na kudondosha maji,