Fundi umeme wa majumbani

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,645
5,596
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye utaalamu wa kufanya wiring ya umeme katika nyumba na ghorofa.

Bei zangu ni nafuu na pindi nitakapokufanyia utafurahia mwenyewe,na pia kama nyumba ina hitilafu za kiumeme pia natatua hitilafu izo.

Napatikana dar,namaba zangu ni 0718 30 21 32
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom