W Wachaka Senior Member Joined Nov 6, 2011 Posts 107 Reaction score 23 Oct 29, 2015 #1 Habari wadau,nafanya residential electrical installation(naweka umeme wa majumbani).Yeyote anaehitaji kuwekewa umeme nyumbani kwake iwe ni wa TANESCO ama solar power ktk nyumba yake au ktk pump za kuvuta maji shamban kwake basi ani PM tuongee.
Habari wadau,nafanya residential electrical installation(naweka umeme wa majumbani).Yeyote anaehitaji kuwekewa umeme nyumbani kwake iwe ni wa TANESCO ama solar power ktk nyumba yake au ktk pump za kuvuta maji shamban kwake basi ani PM tuongee.