Fundi umeme anahitajika haraka

nyuli

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
128
Reaction score
95
-Fundi umeme anahitajika kwa ajiri ya kufanya kazi ya hudumia mitambo ya umeme katika kiwanda cha kufyatua matofali Dar es salaam.
-Awe na elimu ya ufundi umeme kutoka vyuo vinavyo tambuliwa kisheria kuanzia veta na kuendelea
-Akiwa na elimu ya electronics kama ziada ni bora zaidi
-kazi ni full time
-Umri usizidi miaka 35
-mshahara ni 520000 take home.

-Anahitajika haraka sana aliyekuwepo amepata dharula,na mashine zinahitaji marekebisho

Tuma maombi yako kwenda kwenda btobstar@yahoo.com

mwisho kesho!.
 
Mpigie simu huyu jamaa ana elimu na uzoefu wa kutosha ndani na nje ya nchi.
0658297873 anaitwa Chief Ismail


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…