Fundi ujenzi natafuta kazi

Fundi ujenzi natafuta kazi

lieeki

Member
Joined
Jan 19, 2022
Posts
20
Reaction score
17
mimi ni fundi wa finishing nikijihusisha na blandaring gypsum dizain kufunga pvc body dula vent skiming kupaka rangi pamoja na tv kebinet.
napatikana Dar es Salaam

IMG_20220516_154401.jpg
 
Nisaidie elimu Kidogo.

Hivi mtu kama una kiwanja na unataka frame za maduka manner (4) je hadi kupaua ujenzi wake inafika milioni ngapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom