Nina tv yangu led lg 43" nikiwasha ilikuwa inakata kata sauti kisha sasa hiv inawaka tu standby ila kioo hakidisplay chochote kile na ukifanikiwa kuona picha basi kioo n clear hakina mistari
Je shida ni nn?? Na kama ni tatizo siwez litatua mwenyewe pls ufundi gharama yake n bei gan??