hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Hilo tatizo limekuwa sugu kwa muda mrefu sana na mafundi wengi wameumiza vichwa bila majibu.
mafundi wengi tulikata tamaa tukajua hilo huenda tatizo halitengenezeki. lakini kwa sababu akili za binadamu zinakuwa kila siku leo nimejitahidi nimeipata hiyo solution.
Ila mara nyingi huwa nahuzunika solution nyingi huwa zinapatikana wakati simu hiyo inaelekea kupotea mtaani.