B bamku JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 538 Reaction score 429 Feb 17, 2016 #1 Habari zenu wakuu, simu yangu tecno H3 inatatizo la kunasanasa keypads zake kiasi ambacho nashindwa kuandika sms na vilevile nikibonyeza backspace inaanika herufi m. sasa sijuwi tatizo lake ni nini.
Habari zenu wakuu, simu yangu tecno H3 inatatizo la kunasanasa keypads zake kiasi ambacho nashindwa kuandika sms na vilevile nikibonyeza backspace inaanika herufi m. sasa sijuwi tatizo lake ni nini.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Feb 17, 2016 #3 una uhakika keypad zinanasa? sio kwamba umeeka t9 dictionary on? wakati ukiandika sms bonyeza reli # halafu chagua Abc then jaribu kuandika.
una uhakika keypad zinanasa? sio kwamba umeeka t9 dictionary on? wakati ukiandika sms bonyeza reli # halafu chagua Abc then jaribu kuandika.
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Feb 17, 2016 #4 jaribu kubadirisha touch mkuu
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Feb 17, 2016 #5 itazame vizuri kama ina ufa basi juwa hiyo ni touch japo sio lazima iwe na ufa kwa hizo simu m3 h3
B bamku JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 538 Reaction score 429 Feb 17, 2016 Thread starter #6 Slave said: jaribu kubadirisha touch mkuu Click to expand... nashukuru kwa ushauri mkuu
B bamku JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 538 Reaction score 429 Feb 17, 2016 Thread starter #7 Chief-Mkwawa said: una uhakika keypad zinanasa? sio kwamba umeeka t9 dictionary on? wakati ukiandika sms bonyeza reli # halafu chagua Abc then jaribu kuandika. Click to expand... Bado tatizo lipo mkuu backspace inaleta alama ya kuuliza
Chief-Mkwawa said: una uhakika keypad zinanasa? sio kwamba umeeka t9 dictionary on? wakati ukiandika sms bonyeza reli # halafu chagua Abc then jaribu kuandika. Click to expand... Bado tatizo lipo mkuu backspace inaleta alama ya kuuliza
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Feb 17, 2016 #8 bamku said: Bado tatizo lipo mkuu backspace inaleta alama ya kuuliza Click to expand... ichunie tu hio post yangu ulivyosema keypad nikajua simu yako ni ya button za kubonyezeka sio touch. jaribu kudownload keyboard nyengine playstore uone itakuaje,
bamku said: Bado tatizo lipo mkuu backspace inaleta alama ya kuuliza Click to expand... ichunie tu hio post yangu ulivyosema keypad nikajua simu yako ni ya button za kubonyezeka sio touch. jaribu kudownload keyboard nyengine playstore uone itakuaje,
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,252 Reaction score 3,073 Feb 17, 2016 #9 Aisee simu zetu hizi za tekno majanga kweli kaka badilisha tu hako katouch inaonekana tatizo