Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

mkuu naomba msaada bana nina samsung gt-e2152 ina virus pale kweny game and more nimejarb ku restore factory lakn bado pale kweny game and more panaonekana pako full lakn vit vyote nimevifuta naomba msaada
 

Samahani mkuu wewe ndio muanzisha huu uzi au kampuni nyingine? Any way naulizia smart card ya aljazeera inapatikana? Kwa kiasi gani?
 
naweza kupata sim aina ya nokia n78,n81,n86.kila moja ni bei gani.msaada wakuu.
 
hapana sio mimi

Mkuu unaweza ku upgrade android ya tecno p3 2.3.5 to 4 ice cream sandy wich? Sh. Ngapi? Na samsung t589 naipataje firmware yake? Maaaana samsung nimejarbu wamesema cannot upgrade by kiess may be by odin
 
Hapana kwa sasa hakuna upgrades za hizo devices.
Mkuu habari samahani nina Iphone 3G yangu nilijaribu ku-upgrade SW nikafika mahali ikawa inahitaji niwe kwenye WIFi ili iweze kumaliza hiyo upgrade,nikajaribu ku fall back imekataa nimeenda sehemu yenye wifi nimejaribu imegoma kabisa.Sasa ipo tu home.


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu screen ya samsung galaxy s2 imepasuka, je kubadilisha kioo chake inawezekana? Kuna fundi huku mkoani kaniambia inatakiwa kubadilisha kioo na display yake.
ilivyo kwa ss ukiiwasha unasikia mlio wa kuwakia na kwenye buttons za chini kuna mwanga. Nisaidie km inawezekana kaka na ni sh.ngapi pamoja na ufundi. # i am serious customer
 
ZTE android inatumia lain ya TTCL pekee inawexza kuflashiwa
 

Check pm.
I replied into ur msg
 
Waoh,,.....JF ni kila kitu,,....conglatulations technicians,,...!!
 
Mkuu nimeeleza tatizo la Iphone yangu hapo juu mbona hujanijibu?mm ni mteja na nipo seriously

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu nimeeleza tatizo la Iphone yangu hapo juu mbona hujanijibu?mm ni mteja na nipo seriously

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Sijaiona issue ya iphone!!!
Even in pm

Where did u post it??
 
iphone imevunjika display bei gani utanipa?? naiuza sitaki kutengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…