Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

je, unaweza flash or unlock

phone; samsung
model; sgh t528g
carrier locked ; straight talk /tracfone
country; usa

Thank you

Turn on your phone without a sim inserted
Key in *#7465625# this will display which lock is active
(An easier way to remember this is *#SIMLOCK#)
Doing this will display a screen similar to the example below, ON means that particular lock is locked, off means it is not locked.:

Network Lock [ON]
Network Subset Lock [OFF]
SP Lock [ON]
CP Lock [OFF]
 

mkuu nimejaribu zote hizo samsung codes,
nimehangaika sana,
 

I checked on my support tools,
Trackfone
Samsung and lg are unlockable.

Sorry i cant help.
 
now we offer software activation for flashing tools, like
Z3X
INFINITY BEST DONGLE
DC UNLOCKER
GB KEY
ETC.
 
Mkuu nina cm nikienda pale kwnye software update naambiwa no firmware halafu ni t...mobile inakata hela hata nikijiunga bundle msaada plz

Ni simu model gani??
Coz t-mobile ni jina ls mtandao ambao ambao ilikua inatumika hapo awali.
 

Mkuu kuna uwezekano wa kutoa "IT PRIVANCY" kwenye blackberry?

Sijui kama mna hiyo huduma.
 
Habari yako mkuu?

Unaweza kuflash Huawei Y300 hizi simu zinazouzwa na kampuni ya TIGO ambayo inatumia line yao tu?

Swali: Does flashing reduces the perfomance of the mobile phones? Kwani tulikuwa tunabishana na rafiki yangu mmoja na akawa anasema ina madhara kwani simu inaweza kufa muda woowote.

Advice please
 

Jamaa anaflash labda hiyo issue ya performance inahitaji majibu. Km vipi wasiliana nae kwa simu watu wengi wanaflash kwake
 

ndio inawezekana hapa .::Kariakoo::.
 
Kaka unaweza kuwa na touch digitizer ya ipad 2?..tafadhali nipatie bei kama unayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…