Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Guys now tunarepair deadboot for htc,samsung,sony and other windows and android based fones with qualcomm CPU.
 
LG KP500 touch screen nilibadilisha memory card ikaanza kustack na haiwezi kufanya kaz kama mwanzo ktk screen je ni sababu ya virus za ktk memory card? how will i do wth it???
 
mkuu tupo na volunteer mmoja hapa ofisini kwetu, yupo na Iphone ila aliisahau kuiunlock, sasa amefika bongo amejaribu ameambiwa it is only possible kuinulock akiwa UK tuu na sio pengine, je unaweza kuifungua ili aweze kuitumia hapa bongo?
 
Hakuna fundi simu wala fundi saa na wala fundi dishi wote ni boshen tuu kama kweli kuna fundi basi ni kinyozi tuu tena hapo kwa hapo
 
Mkuu htc desire yangu imegoma camera na video ukutaka kutumia cam au video inazima halafu inawaka nimepeleka kuflash imeshindikana ila kuna fundi mmoja amesema ni sensor zimekufa ila hazipatikani je unaiweza?
 
Kama ulifanya flashing na ikagoma, i cant help. Coz na mimi nafanya software tu. Ths means ningeflash as well.

So kama alisema haipatikani that id true.
I am sory i dont do hardware.
 
mkuu tupo na volunteer mmoja hapa ofisini kwetu, yupo na Iphone ila aliisahau kuiunlock, sasa amefika bongo amejaribu ameambiwa it is only possible kuinulock akiwa UK tuu na sio pengine, je unaweza kuifungua ili aweze kuitumia hapa bongo?

Je hiyo iphone huko uk ilikua inatumia network gani??
Labda o2,tmobile,orange,3 hutchson etc

Ni lazima kujua hizo infos ili kuweza ku fanya unlocking.
Pm me imei no of that iphone for network checking.
 
....betri original za i phone 3 mnazo ? bei ikoje....mnapatikana pande zipi kama vipi niwazukie...
 
Yupo fundi wa ukweli ambaye ali ni anlockia sim yangu iPhone4s nili tumiwa kutoka Swidden my no 0756557300 ntak elekeza yupo Arusha
 
Fundi niliformat memoli kadi yangu ya simu ya sumsung bahati mbaya je unaweza kurudisha picha zilizigormatiwa kwenye iyo memory card?
 
Zipo bei ni 25000
Tupo kariakoo mtaa wa uhuru jengo ambalo zamani lilikua kanisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…