Fundi power steering gari zote

Fundi power steering gari zote

kandamatope

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
589
Reaction score
629
Natoa ushauri bure, natengeneza power steering gari aina yeyote ile
Kuanzia Scania, Benz, iveco, daf
Isuzu v 10 v8 nissan , Tata icher , double Coaster, Landcruiser na nk.
Uliza chochote kile kuhusu power steering nitakujibu kwa ufasaha kabisa
Mimi ni specialist wa power steering tu
Aksante, nakaribisha maswali
Screenshot_20180526-130011_1527328946020.jpg
 
Nina Benz W203 kaka....nimeambiwa na fundi wangu kuwa Power Steering yangu imekufa. Lakini nikiendesha gari naona ndio steering ni ngumu lakini sio sana.

Ishu hapa ni kwamba kununua steering power mpya ni too expensive. So kama utaweza kunisaidia kurekebisha hii itakuwa helpful.
 
Taratibu za kiufundi ili power steering ionekane imekufa kuna dalili zifuatazo,
Steering kuwa ngumu
Kusikia mlio au muungurumo katika power yenyewe au steering inakuwa mara laini mara ngumu yaani aieleweki

hatua ya awali ni
Check aidrourick yako kama ni chafu au nyepesi

Pili
Check filter yako kama ni safi au chafu

hatua ya mwisho
Kama yote hayo umeshayafanya na bado steering ni ngumu ndio utakimbila kwenye kufanya service ya kubomoa power yenyewe

Nadhani umenielewa kaka Hamy-D
 
Ngoja nipitie hizo hatua halafu nitaleta mrejesho. Thanks in advance!
 
Fundi Mimi gari yangu suzuki swift kuna muda ukiwasha gari steering inakuwa ngumu mpaka uzime uwashe tena fundi ameniambia shida ni steering reck
Naomba ushauri
 
humu napata maswali ya vitoto vya gari
Nilifikiri nitakutana na maswali ya hevy machine
Magurus iveco, Peter belit , International, Louis Louis hevy Truck , scania , daf uero 5 , daf xf, nk.
 
Lakini hata hivyo
Kama fundi amesema tatizo ni steering reck,
Muulize reck imefanyaje?

Kiufundi ipo hivi
Ukiona unawasha gari yako alafu steering inakuwa ngumu
Kisha baadae inakubari inakuwa laini
Check liakage kwenye reck
au pipe
Na kama hakuna leakage yeyote
Fanya service ya kumwaga hydroulic oil yote kuanzia kwenye mtungi mbaka kwenye reck
Kisha weka hydroulic nyingine mpya Original sio za mafungu ( kupima
Mwambie fundi atoe upepo mambo yatakuwa mazuri .

,
 
Kuna IST ya shemeji yangu (mme wa dada angu) ukiiendesha steering inakuwa ngumu siyo mara zote ila ni mara kwa mara ukiwa unakata kona kwenda kushoto, tatizo laweza kuwa nini?
 
humu napata maswali ya vitoto vya gari
Nilifikiri nitakutana na maswali ya hevy machine
Magurus iveco, Peter belit , International, Louis Louis hevy Truck , scania , daf uero 5 , daf xf, nk.
Wewe tayari siyo fundi..ni mbabaishaji tu...huwezi kuita magari ya watu vitoto vya gari...kumbuka mafundi wengi wanaishi mjini kwa kutenheneza hayo magari unayoyadharau kwa sababu ndiyo mengi na yanamilikiwa na watanzania wengi.
kila la heri fundi.
 
Kwa kweli wababaishaji ni wengi.

Jamaa hana idea au uelewa wa anachoongea. Kw mfano, hiyo Suzuki inatumia Electric Power Assisted Steering na sio hydraulic ( sio aidulolic ) kama anavyodai jamaa.

Kwa nyuzi zingine unapata wenye magari wakilalamika kuhusu mafundi ilhali KABLA ya kwenda kw hiyo fundi alijiuliza kama kweli ana uwezo au ujuzi. Alipojipata mashakani ni kulalamika na kujidai mhasiriwa.

Mimi kama fundi nimepata kugundua watu wengi hawajali kama una ujuzi au la ila bei unayolipisha ni ya chini; nimejipata mashakani pale ninapomshauri mwenye gari tufanye marekebisho ilhali yeye anadai gari iko sawa mimi siielewi, baada ya siku au masaa machache anapiga simu eti amekwama. Wengine hawaelewi diagnosis ni nini; ikiwekwa kw kompyuta itapona. Wengi nao udhani oil ni oil.

Kwa ufupi issue ya ufundi/mafundi sio rahisi kutatua bila uelewa kamili. Kama vile urekebishaji pia sio rahisi bila diagnosis kamilifu - na diagnosis sio ya kompyuta pekee.

Mwisho ni kw "fundi wa steering"; hakuna gari mtoto au mzima, zote gari. Teknolojia inayotumika ndio muhimu kuelewa. Kama gari ina shida, fundi akidai hatengenezi magari hayo na sio haelewi, yeye ni mwongo.
 
humu napata maswali ya vitoto vya gari
Nilifikiri nitakutana na maswali ya hevy machine
Magurus iveco, Peter belit , International, Louis Louis hevy Truck , scania , daf uero 5 , daf xf, nk.
Peter belit -*peter bilt*
DAF XF inaweza kuwa euro 5 inategemea imekuwa manufactured mwaka gani japo we umeonesha daf xf ni tofauti na daf euro 5
Kwa mkanganyiko huo ufundi wako unatia mashaka kidogo lakini yote kwa yote kazi njema
 
huyu jamaa nlidhani ni fundi au mtu mzima.kumbe ni jamaa tu mbabaishaji anataka kuja kuwaibia watu. yaani watu wanamweleza matatizo ya magari yao yeye anadharau hayo magari? ni mpuuzi sana... nimegundua kuna kitu muhimu sana mafundi wetu wanakosa.customer car hawana na hii ni kutokana na kukosa elimu.. maana hata jinsi anavyoandika majina ya vitu /vimiminika vya magari anakosea.hilo nikamvumilia kuwa ni kwa sababu mafundi wengi wa magari ni standard seven failures lakini nimekuja kuchoka nilipoona watu wanamuuliza matatizo ya magari yao yeye anaona kuwa ni vitoto vya magari anataka aulizwe habari za magari makubwa ambayo hata yeye hana... mafundi wa tanzania ni shida sana.wanashindwa kuelewa kuwa mtu anaweza kuwa na gari hata tatu na katika hizo ikawepo ndogo na kubwa pia.

Wewe tayari siyo fundi..ni mbabaishaji tu...huwezi kuita magari ya watu vitoto vya gari...kumbuka mafundi wengi wanaishi mjini kwa kutenheneza hayo magari unayoyadharau kwa sababu ndiyo mengi na yanamilikiwa na watanzania wengi.
kila la heri fundi.
 
huyu ni tapeli mbabaishaji.. subiri akawalize watu huko mbeleni. amekaa kaa gereji basi kutoka hapo anaamini na yeye ni fundi. sababu amekuwa akimsaidia fundia mbaye anatengeneza sana aina hiyo ya magari.basi anaamini naye ni fundi.

Peter belit -*peter bilt*
DAF XF inaweza kuwa euro 5 inategemea imekuwa manufactured mwaka gani japo we umeonesha daf xf ni tofauti na daf euro 5
Kwa mkanganyiko huo ufundi wako unatia mashaka kidogo lakini yote kwa yote kazi njema
 
Taratibu za kiufundi ili power steering ionekane imekufa kuna dalili zifuatazo,
Steering kuwa ngumu
Kusikia mlio au muungurumo katika power yenyewe au steering inakuwa mara laini mara ngumu yaani aieleweki

hatua ya awali ni
Check aidrourick yako kama ni chafu au nyepesi

Pili
Check filter yako kama ni safi au chafu

hatua ya mwisho
Kama yote hayo umeshayafanya na bado steering ni ngumu ndio utakimbila kwenye kufanya service ya kubomoa power yenyewe

Nadhani umenielewa kaka Hamy-D
Ni Hydraulic.
Check FILTER ya nini?
 
kandamatope , natafuta PS ya landcruser (Prado Tx, Petrol). Inaenda kwa being gani? Mpya? Used? Gari zipo Dar
 
Back
Top Bottom