Fundi ntakaemkabidhi ramani anijengee nyumba

Fundi ntakaemkabidhi ramani anijengee nyumba

Tafakuru

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
83
Reaction score
33
Hello

Jamani, kwa wale wenye taaluma ya ujenz

Nnahitaji fundi ambae anauwezo wa kuchkua ramani ntakayo mpa na kusmamia ujenzi wa simple house hadi itakapokwisha/

Sifa za muombaji
1. Mzoefu
2. Mwaminifu
3. Proven CV
4. Reasonable cost
5. Mwanaume
6. Awe DSM

Naomba tuwasiliane kama upo
 
.

Waswahili wanasema fundi ni mbuzi tu, anakula majani ana toa karanga...Anyways ungeweka na budget yako kabisa ingekuwa vizuri zaidi
 
nicall kwa hii namba 0713 532322 tufanye negotiations na pia nikupe cv yangu.
 
kakangu Tafakuru utaingia choo cha kike kwa kutafuta fundi mjenzi mtandaoni. Huu ni ushauri tu wa bure.

Kama upo serious na huo ujenzi tafuta fundi ambaye ni mzoefu amejenga na kazi zake nenda ukazione kwa macho uridhike ndio umkabidhi kazi yako la sivyo utalia peke yako siku moja. mark my words Tafakuru!!!
Pia usimamie kazi yako wewe mwenyewe maana mafundi wengi ni wezi wa vifaa vya ujenzi
 
Last edited by a moderator:
Hello

Jamani, kwa wale wenye taaluma ya ujenz

Nnahitaji fundi ambae anauwezo wa kuchkua ramani ntakayo mpa na kusmamia ujenzi wa simple house hadi itakapokwisha/

Sifa za muombaji
1. Mzoefu
2. Mwaminifu
3. Proven CV
4. Reasonable cost
5. Mwanaume
6. Awe DSM

Naomba tuwasiliane kama upo

Kipengele cha 5,Hujatoa usawa kwa jinsia ya pili (wanawake) wapo wanaofanya kazi kwa weledi mkubwa
 
Back
Top Bottom