100Basi sawa simba wampe 60m maana hakuna competition tena.
Jiwe walilolikataa waashi...............
Habari iliyovunjikavunjika ninayoweza kuwapeni kwa sasa.
Haruna Niyonzima amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba. Yanga wameshindwa kumshawishi Niyonzima abaki kwa kuwa fedha aliyoitaka wameshindwa kumpa.
======
Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Katibu Mkuu Boniface Mkwasa inapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga juu Mchezaji raia wa Rwanda Haruna Niyonzima ambaye amekua Mchezaji wetu kwa misimu 6 mfululizo katika kiwango cha juu.
TAARIFA KWA UMMA
Hata hivyo Haruna Niyonzima bado ana mkataba mpaka mwezi Julai na Yanga Sc, lakini hatutaweza kuendelea kuwa nae kwa msimu ujao kwani hatukuweza kufikia mwafaka katika mazungumzo yetu na yeye licha ya timu yetu kuwa na nia za kuendelea nae kwa misimu miwili ijayo.
Klabu inamtakia kila la kheri katika maisha yake na soka kwa ujumla.
Imetolewa na Idara ya Habari na Maelezo
Young Africans Sports club.
21-06-2017.

Ajib.Aondoke tu aende zake. Watakaokuwepo wataisaidia yanga
Inamaana Gazeti la dimba walitudanganya kwamba bin kheb ameshamaliza kila kitu? Pumb*vu zao