kindili kindili
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 242
- 54
Uwezo ninao mkubwa ila sjaelewa fundi anahitajika kuna tenda yakufanya aidha unifom or sare ya harusi nk au nikwamba awe wakwako moja kwa moja? Hapo ndo ishu but kwa kazi maalumu naweza kuja popote japo nko mbali ila kuniajiri hutawezaWana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhar PM.
ooh nataka awe wa kwangu moja kwa moja..ingawa na mimi nipo hapo muda mwingi...haya sawa huko huna mafundi waliomaliza maliza course wanatafuta kazi? mimi ata nikianza na 0 experience ni poa, ntamuelekeza mitind.... ntakuona kwa kazi harusi mara nikipata.Uwezo ninao mkubwa ila sjaelewa fundi anahitajika kuna tenda yakufanya aidha unifom or sare ya harusi nk au nikwamba awe wakwako moja kwa moja? Hapo ndo ishu but kwa kazi maalumu naweza kuja popote japo nko mbali ila kuniajiri hutaweza
Usjali mkuu nikipata ntakuambia kwasasa ndo nna wanafunziooh nataka awe wa kwangu moja kwa moja..ingawa na mimi nipo hapo muda mwingi...haya sawa huko huna mafundi waliomaliza maliza course wanatafuta kazi? mimi ata nikianza na 0 experience ni poa, ntamuelekeza mitind.... ntakuona kwa kazi harusi mara nikipata.
Mkuu naomba kujua yafuatayo;Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhar PM.
Mkuu kuna mdada nilimlipia ada ya miezi mi3 llkamaliza lakini bado hajawa na uzoefu wakutosha..Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhar PM.
Huyo ananifaa kabisa, ni pmMkuu kuna mdada nilimlipia ada ya miezi mi3 llkamaliza lakini bado hajawa na uzoefu wakutosha..
Hiv sasa yupo nyumbani tu hapa tabata chang'ombe,je atakufaa?
ukimpata uniambie mimi nauza vitenge natafuta fundi ili nizidi kukuza mtaji kitenge 35000 fundi apige 40000 ila mimi ntaweka cha juu 20000 unitafute mkuuWana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhali PM.
Mkuu bado unahitaji huyo mtu maana Nina mdogo wangu na nilitoa tangazo mda mrefuWana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhali PM.
nawasiliana nae..asante sana mkuuVip hiyo nafasi bado IPO Mkuu yupo mmoja anaekaa hapa tabata kimanga nazan sio mbali na hapo kisukuru anajua kushona vizur nakudarizi pia hana haja yakupangishiwa chumba mawasiliano 0756493645
Mkuu, kuna binti kahitimu kozi ya ushonaji chuo flani Morogoro, anashona nguo siku hizi lkn hajapata experience ya kutosha, Kwa kuwa unasema utamfundisha mitindo mingine, na kwamba utampangishia chumba, Yupo na anahitaji hiyo nafasi, naomba tuwasiliane Kwa namba za Simu : 0759641184 na 0787542381.Uwe na Majukumu mema !Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhali PM.
Bado yupo available?Mkuu bado unahitaji huyo mtu maana Nina mdogo wangu na nilitoa tangazo mda mrefu
Habari, Fundi Bado yupo nahitaji Fundi Cherehani kwenye offisi yangu..Mkuu bado unahitaji huyo mtu maana Nina mdogo wangu na nilitoa tangazo mda mrefu
Habari, Fundi Bado yupo nahitaji Fundi Cherehani kwenye offisi yangu..
Niko kinondoni studioOfisi yako ipo wapi mkuu
Bado una uhitaji wa fundi,nimuunganishe jamaa yangu !! Anashina nguo za kiume shirt,surual na kotiNiko kinondoni studio
0737610682 nicheki hapoBado una uhitaji wa fundi,nimuunganishe jamaa yangu !! Anashina nguo za kiume shirt,surual na koti