Fundi mzuri wa suti za harusi Arusha

Fundi mzuri wa suti za harusi Arusha

Umemkubalie..jamaa ni noma sana hunishonea nguo tangu 2007..nilisahau kukuambia umweleze umeelekezwa kwake na dr.
Nitaenda tena soon juzi nilienda tu kuona ofisi na kujua gharama na mambo mengine. Nimekuta mashati yanashonwa pale ukiyakuta kwenye maduka makubwa unapigwa bei ya hataree. Jamaa kaniambia nisiporidhika na suti ruksa kuacha kuichukuaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nina hamu ya tailor made suit kwa hapa Dar wapi fundi wa haya makitu na bei rafiki sitaki hao wanaouza majina yao something btn 300 000- 500 000 hao akina sheria remtullah msinitajie how come suit yangu na gari yangu vitz ziwe bei sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba mrejesho wa suti
Mkuu suti zipo ila wajanja wengi mno. Ila nilipata suti matata kwa bei nzuri mno. Kuna jamaa anaitwa yuda anashona na mzee mmoja anaitwa mzee Mtui wapo karibu na arusha technical jamaa wapo vizuri sana. Ila inabidi tu uwe mfuatiliaji maana ana wateja wengi sanaaa. Usipofuatilia unaweza ukapewa nguo siku ya harusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom