Fundi mzuri wa dell laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fundi mzuri wa dell laptop

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mr Ngoma, Sep 18, 2012.

 1. Mr Ngoma

  Mr Ngoma Senior Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 134
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  wAKUU NAOMBENI MSAADA HAPA DAR, NAHITAJI FUNDI MZURI WA DELL LAPTOP (HASA AWE NA UZOEFU WA HARDWARE) NINAZO LAPTOP MBILI ZINA SHIDA KTK HARDWARE

  NAPATIKANA KTK 0715266772 AU BARUA PEPE erasto@comsec.co.tz

  natanguliza shukrani
   
 2. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hebu jaribu kuelezea kidogo zinatatizo gani specieficaly.? i.e Haziwaki, zinazima, zimekufa display. Hii ni kwa msaada tuu ili uweze funguliwa macho kuhusu bei, tatizo laweza kuwa ni nini na prediction za cost zake kwani humu wanapita watu wenye uelewa wa vitu mbalimbali.
   
Loading...