Fundi makabati ya nguo na ya jikoni

Mkuu hizo mbao ni za mchina au ni zipi?
Jiko dogo linaweza gharimu bei gani?
 
Safi hiyo laki sita mbao ni kwako? Na je unatumia mbao aina gani?
 
Nimependa kazi zenu kama kweli ni zenu. Tanzania tatizo ni finishing lakini kwa hizo picha zinaonesha ni finishing za viwango.

Mnafanya kutumia hardwood zipi? Kwa anaetaka.

Mnafanya milango na madirisha ya mbao (hardwood) pia?

Mtu akiwa pa picha ya design anayoitaka mnamfanyia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…