Fundi magari ni noma

Fundi magari ni noma

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
Jamaa alipeleka gari lake kwa fundi kupaka rangi na akamwambia fundi nataka ulipake rangi yoyote isipokuwa nyekundu, nyeusi,bluu,njano,kijani,zambarau,choklet,nyeupe na zingine nyingi aliendelea kuzitaja.... Fundi nae akajibu poa nenda uje kulichukua gari lako cku yoyote isipokuwa jumatatu, jumanne,jumatano,alhamis, ijumaa, jumamosi wala jumapili
 
Kwa hiyo dereva akawasha gari yake akaondoka ili aje siku aliyopangiwa na fundi kuja kuchukuwa gari yake...... teh teh teh teh.....!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom