Fundi jiko la umeme

Fundi jiko la umeme

KyelaBoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2008
Posts
206
Reaction score
22
Natafuta fundi wa jiko la umeme,plate moja sasa haifanyi kazi(haileti moto mkali)kama hapo mwanzo ni leo tu ndio hili tatizo limejitokeza,aina ya jiko ni Oscar 2 plates hutumia umeme na 2 platess hutumia gas,kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri tafadhali anijulishe ,tel no 0786 585 490 nipo Dar ,tafadhali awe anajua kutengeneza jiko na isiwe ni fundi umeme tu.
 
piga hii namba 0714 530592 anakusaidia! mwambie umeelekezwa na wamadish.
 
Shukrani wamadish je pia unashughulika na madish? Yap! ndo maana nikajiita hivyo!
 
Back
Top Bottom