Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

Tunaendelea na kazi tupigie 0658517022
Inawezekana umeshafunga fence lakini je,inafanya kazi kwa ufanisi?
●Inawezekana unaona mashine inakuonyesha kufanya kazi ndio lakini ina muda haijafanyiwa service mfumo wa fence yako.

●Umefunga Cctv camera lakini kuna muda zinakata na kurudi,camera zingne zinafanya kazi na zingne hazifanyi kazi.

●Umefunga gate motor lakini unapata changamoto battery kubadirisha kila muda na ukibadirisha tatizo haliishi?

●Kwa huduma za kufunga na kurekebisha matatizo ya mifumo ya ulinzi karibu tupigie 0658517022

Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania bara na visiwani Zanzibar.
 

Attachments

  • 20240405_141659.jpg
    17.2 MB · Views: 1
  • 1_20240307_163932_0000.png
    1_20240307_163932_0000.png
    347.6 KB · Views: 2
  • 20240223_0511371.mp4
    37.4 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom