Fundi bomba na plumbing system

Fundi bomba na plumbing system

plumber hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
913
Reaction score
1,591
Habari zenu ndugu zangu wa jf poleni na majukumu ya hapa na pale.. Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu mifumo yote ya bomba katika nyumba ikiwemo mifumo ya maji safi na maji taka drainage system ufungaji wa maji moto vifaa gani ni bora na unapo pata tatizo nini ufanye hili ulitatue tatizo vitu gani uzingatie pindi unapo taka kuweka fitting za usafi choo,beseni,kitchen sink n.k.Pia kama utakuwa na swali lolote linalo husu bomba uliza utajibiwa pia ukiitaji fundi mahili na mwaminifu na kwa bei nafuu kwa kazi bora na ya kudumu pia utapata..
 
Wewe upo mkoa gani?
Kuniwekea tank la maji la Lita 2000 juu ni bei gani?
 
Kufunga vyoo (vya kukaa viwili na vya kuchutama viwili), mabafu ya vioo mawili, masinki ya kunawia vyooni mawili na masinki ya jikoni mawili!

Gharama yako kiasi gani..?!
 
Hivyo vifaa unavyo taka kufunga je ni kwa finishing au fund anaaza mwanzo kufanya maadalizi ya mfumo wote maji taka na maji taka??

Bei utegemea na hatua.
 
Ni kufunga tu hivyo nilivyovitaja..

System ya kuingiza na kutoa maji iko tayari.

Vifaa husika viko 'site'.
 
Back
Top Bottom