profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,433
Wadau naomba kama kuna mtu anajua fundi/garage nzuri ya kuripea body ya gari, maeneo ya gmboto, mwisho wa lami, Pugu kona na Chanika road, asiwe mwizi wa masega na bei za tamaa.
asante ndugu yangu kwa msaada wako...0757724589 anaitwa Timo.
Yupo Pugu shule ya msingi...