Fun fact: Unaufahamu mto meander?

Fun fact: Unaufahamu mto meander?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
10,884
Reaction score
18,824
Huko Uturuki Kuna mto uliojipindapinda unaoitwa mto meander. Kutokana na mto huu kujipindapinda mito ndiyo kukaitwa meandering.
images (2).jpeg
 
Nauliza why unafurahi sana kuishi Lindi?
Sifurahii na hata hivyo next 2 month naondoka mkuu naenda abroad kusoma four years kwa hiyo me na Lindi Tunaachana rasmi kwa heri ya kuonana.kwanini ulisema napenda Lindi hapana sikupenda ila kaZ ilinifanya nilishafanya mchakato wa transfer ukawa uko pending..sasa utafanyaje utaacha kuishi kwa sababu hupapendi inabidi ukome nako..Lindi bado Sana imagine nakaa mtanda hill mjini pale pale ila butcher,saloon ,wakala inabidi nishuke town na bodaboda sasa mji gani huo.sipapendi hata wife na familia nishawamisha wangeshindwa maisha magumu wafanyabiashara na watu Wana roho ya ugumu ugumu Tu..me napenda dar na SINGIDA basii
 
Kwa

Kweli aisee watu wa Lindi wana roho ngumu sana yaani bado sana biashara ziko hovyo Sana
 
Back
Top Bottom