Fumbua fumbo hili

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
24,565
47,011
47b24e6cada5547b9667fc896945c90e.jpg
 
Ijumaaa.
Kozi alisema kama jana ingekua leo (ambayo ni alihamisi sasa )kesho ingekua ijumaa (ambayo ndio leo)kwaiyo alisema maneno hayo sku ya ijumaa
 
Ijumaaa.
Kozi alisema kama jana ingekua leo (ambayo ni alihamisi sasa )kesho ingekua ijumaa (ambayo ndio leo)kwaiyo alisema maneno hayo sku ya ijumaa
Kaswali kadogo kanawasumbua kichwa...
 
Huwezi amini hili ni swali la hisabati na lina kanuni yake, na mi na hesabu hatuna urafiki.
 
Back
Top Bottom