Fumbo la kihisabati

Kwenye wachangiaji wote @FRANCISDADON ndie aliye sahihi amejitahidi kutoka ufafanuzi wakutosha kama ijaelewa basis

In summary
1) mwizi alivyokuja kuiba muuza duka kaibiwa 100,000/= hivyo alipeza 100,000/=

2)mwizi akaja kama mteja wa kawaida akanunua bidhaa za 90,000/= then muuza duka akamrudishia 10,000/= sio kwa makusudi ila imeelezwa kuwa ni kwaabaati mbaya hivo muuzaji alighafirika kwaiyo mauzo ya 90,000/= yalienda sawa tu ila kwa baati mbaya alivyomrudishia 10,000/= kwaiyo alipoteza 10,000/=

Solution
Alipoteza mara ya kwanza = 100,000/=
Chenji aliyorudisha baati mbaya = 10,000/=

100,000+10,000 = 110,000/=

Therefore alipoteza 110,000/=

NB: imeandikwa kwamba mwizi alikuja na pesa ileile akanunua bidhaa za 90,000/= kwahiyo aiwezekani atoe laki moja nakati anahitaji bidhaa za 90,000/= ,hii statement inasapotiwa na pale panaposema muuzaji alitoa pesa kwabaati mbaya hivyo tunaona angekuwa mnunuaji katoa 100,000/= kusenheandikwa kwa baati mbaya hii ningekuwa kwa baati mzuri sasa
 
Kwahiyo wewe ukienda na laki 5 dukani kununua vitu vya elfu 20 huwa unatoa laki 5 yote ili urudishiwe chenji ya 480k?!
Kwani umeambiwa huyo mwizi aliiba Tsh!
Kama mwizi alikuwa mzimbabwe, kwani hawezi kuwa na noti ya 1m.?

Nawewe pia Low IQ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…