Fumbo la kihisabati

Lugha ni tatizo mkuu, yaani ukienda na 100,000 dukani ukaambiwa vitu vinauzwa 90,000 unatoa laki yote ili urudiahiwe change?
 
Swali la kipuuuzi, kwani hiyo laki moja ilikua noti moja! Maana hiyo chenji ya 10k siielewi
 
Dah....unanunua bidhaa za shilingi 90k halafu unatoa shilingi laki moja? Ajabu sana
 
Hapo ndio kwenye mtego
Ameuliza kiasi cha pesa kilichopotea sio bidhaa.
Kwa hiyo mwizi amerudisha elfu tisini,kwa njia ya manunuzi
kabakiwa na elfu kumi kaongezewa na elfu kumi ya chenji
jumla jamaa kapoteza 20000.
mzigo wa shs.90,000/= ni sawasawa na 90,000/=, unless otherwise lugha ni tatizo
 
Kapoteza laki moja tu ukiihesabu elfu 10 tena utakuwa umedouble count coz ipo kwenye kile kiwango cha laki moja iliyoibiwa.
 
mh! na hivi sipendagi "mathe" ngoja tu nifanye kusoma comments za wadau
 
Wapi ameandika mwizi katoa 100,000/=?! Yaan mimi niende kununua vitu vya 90,000/= halafu nimpe 100,000/= mwenye duka, ili iweje? Acha ku-assume visivyoandikwa.
Kwani unadhani kwa nin alirudishiwa elfu kumi

NB. Ile laki moja na bidhaa za elfu 90 zote ni mali ya muuzaji
 
Muuzaji ndo chiz aliyepewa elfu 90 akarudisha elfu 10 kwa logic ya uchiz
 
Hapo ndio kwenye mtego
Ameuliza kiasi cha pesa kilichopotea sio bidhaa.
Kwa hiyo mwizi amerudisha elfu tisini,kwa njia ya manunuzi
kabakiwa na elfu kumi kaongezewa na elfu kumi ya chenji
jumla jamaa kapoteza 20000.


Mwenye duka kapoteza 100,000.
Hauwezi kuhesabia bidhaa na chenji maana hapo mwizi alikuja kama mteja tu na sio mwizi tena.

hesabu ndogo tu hii.
 
Kwani unadhani kwa nin alirudishiwa elfu kumi

NB. Ile laki moja na bidhaa za elfu 90 zote ni mali ya muuzaji
Swali linasema "mwenye duka alirudisha chenji bila kujua" , hivyo ilirudishwa kimakosa kulingana na swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…