FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Kapoteza aliyoibiwa pamoja na chenji, Tunaposema mtu kanunua vitu vya 90,000 maana yake ni kwamba alitoa 90,000 na akabaki na 10,000, na huyo mwenye duka akampa tena chenji ya shs.10,000, kwahiyo 10k aliyobaki nayo + bidhaa za 90k + chenji ya 10k unapata 110k; unless otherwise lugha ndio tatizo.Sorry kapoteza
Mkuu ze don ,mwenye duka talipoeza kilo aliyoibiwa ,baadae mwizi kaja kama mteja na wakafanya biashara tuTunaposema mtu kanunua vitu vya 90,000 maana yake ni kwamba alitoa 90,000 na akabaki na 10,000, na huyo mwenye duka akampa tena chenji ya shs.10,000, kwahiyo 10k aliyobaki nayo + bidhaa za 90k + chenji ya 10k unapata 110k; unless otherwise lugha ndio tatizo.
Jibu hii hoja; Tunaposema mtu kanunua vitu vya 90,000 maana yake ni kwamba alitoa 90,000 na akabaki na 10,000, na huyo mwenye duka akampa tena chenji ya shs.10,000, kwahiyo 10k aliyobaki nayo + bidhaa za 90k + chenji ya 10k unapata 110k; unless otherwise lugha ndio tatizo.Mkuu ze don ,mwenye duka talipoeza kilo aliyoibiwa ,baadae mwizi kaja kama mteja na wakafanya biashara tu
Kaiba sh 100,000/=Ufafanuzi?
Hahah the Don mweye duka alipoteza kwa kuibiwa laki moja tu.kwani mwizi alikuja na lako na akarudishiwa elfu kuni kama salioKapoteza aliyoibiwa pamoja na chenji, Tunaposema mtu kanunua vitu vya 90,000 maana yake ni kwamba alitoa 90,000 na akabaki na 10,000, na huyo mwenye duka akampa tena chenji ya shs.10,000, kwahiyo 10k aliyobaki nayo + bidhaa za 90k + chenji ya 10k unapata 110k; unless otherwise lugha ndio tatizo.
Wapi ameandika mwizi katoa 100,000/=?! Yaan mimi niende kununua vitu vya 90,000/= halafu nimpe 100,000/= mwenye duka, ili iweje? Acha ku-assume visivyoandikwa.Kaiba sh 100,000/=
Akanunua bidhaa zenye dhamani ya
sh 90,000/= na kurudishiwa sh 10,000/= kwenye duka hilo hilo. Ikumbukwe kuwa (Bidhaa+ 100,000) ni mali ya mwenye duka.Bidhaa thaman yake ni sh 90,000 na hiyo laki moja aliyoitoa mwiz pia ni mali ya mwenye duka, kwahyo kamrudishia laki moja yake kwa kununua bidhaa kwa hela ambayo ni mali ya muuzaji,hivyo basi ile 10,000 anayorudishiwa mwizi kama kiasi kinachobaki baada ya kutoa laki moja ambayo kaiba dukan hapo hapo ukijumlisha na 90,000 bei ya bidhaa jumla yake kuu ni 100,000. Kwahiyo mwenye duka kapoteza 100,000/=
(90,000+10,000).
Umesema rugha hebu sema alililipa laki mojaJibu hii hoja; Tunaposema mtu kanunua vitu vya 90,000 maana yake ni kwamba alitoa 90,000 na akabaki na 10,000, na huyo mwenye duka akampa tena chenji ya shs.10,000, kwahiyo 10k aliyobaki nayo + bidhaa za 90k + chenji ya 10k unapata 110k; unless otherwise lugha ndio tatizo.
Kwahiyo wewe ukienda na laki 5 dukani kununua vitu vya elfu 20 huwa unatoa laki 5 yote ili urudishiwe chenji ya 480k?!Hahah the Don mweye duka alipoteza kwa kuibiwa laki moja tu.kwani mwizi alikuja na lako na akarudishiwa elfu kuni kama salio
Sawa mkuuWapi ameandika mwizi katoa 100,000/=?! Yaan mimi niende kununua vitu vya 90,000/= halafu nimpe 100,000/= mwenye duka, ili iweje? Acha ku-assume visivyoandikwa.
Unajua hesabu mkuu umejibu as I wish to say greatKaiba sh 100,000/=
Akanunua bidhaa zenye dhamani ya
sh 90,000/= na kurudishiwa sh 10,000/= kwenye duka hilo hilo. Ikumbukwe kuwa (Bidhaa+ 100,000) ni mali ya mwenye duka.Bidhaa thaman yake ni sh 90,000 na hiyo laki moja aliyoitoa mwiz pia ni mali ya mwenye duka, kwahyo kamrudishia laki moja yake kwa kununua bidhaa kwa hela ambayo ni mali ya muuzaji,hivyo basi ile 10,000 anayorudishiwa mwizi kama kiasi kinachobaki baada ya kutoa laki moja ambayo kaiba dukan hapo hapo ukijumlisha na 90,000 bei ya bidhaa jumla yake kuu ni 100,000. Kwahiyo mwenye duka kapoteza 100,000/=
(90,000+10,000).
Kuna noti ya laki 1 siku hizi? Noti ya 10k ipo, ila ya 100k haipo, kutoa 100k wakati unanunua vitu vya 90k ni uchiziUmesema rugha hebu sema alililipa laki moja
Kwa mfano tukisema aliibiwa elfu kumi then mwizi akaja akanunua vitu vya elfu Tisa je ingekuwaje
Unaakili sana ww kuna watu wanaliwaz swali hili kutokana na pesa yetu ilivyogawanywa na BOT kumbe wanatakiwa kufuata hesabuSimple calculation
Aliibiwa 100,000/=
Then aliyemwibia (mwizi) hicho kiasi akakitumia kununua bidhaa hapo hapo dukani.
There fore
Hapo hakuna loss wala profit (hesabu yake imebaki vilevile kabla ya kuibiwa)
Next scenario
Jamaa baada ya kurudisha zile pesa alizoiba
Akaagiza bidhaa zenye thamani ya tsh 90,000/=
Na baada ya hapo akampa chenji ya tsh 10,000/=
Hapo inakua jumla ya
90,000+10,000= 10,000
Hivyo pesa aliyopoteza jumla ni tsh 100,000/=
Swali halikusema "alilipa", bali lilisema "alirudi" na laki 1 dukani, hata angerudi na milioni, haijalishi,maana angewe kuwa na pesa zake nyingine mfukoni, probably alizoiba kwingine. Ila akalipa kiasi sawa na bidhaa alizoagiza (90,000), na si pesa zote alizorudi nazo dukani. Zingeweza kua laki 1 au zaidi, maana hatujui kabla ya kuiba alikua na ngapi..Swali linasema Alilipa. 100000 nakupewa chenji cheji ya 90000 tatizo hufuati maelekezo .utafeli sana mkuu ze Don
Kwani essence ya 'chenji' ni nini?, si ni kwamba pesa unayodaiwa haigawanyiki katika uliyonayo mfukoni exactly, hivyo unalazimika kutoa zaidi tjen urudishiwe iliyozidi. Kwa mantiki hii, mgawanyiko wa pesa haukwepeki, unless hilo duka liko mbinguniUnaakili sana ww kuna watu wanaliwaz swali hili kutokana na pesa yetu ilivyogawanywa na BOT kumbe wanatakiwa kufuata hesabu
Hivi siku hizi kuna noti ya shilingi laki moja??.. Mtu hawezi kwenda dukani kununua vitu vya elfu tisini halafu atoe laki moja ili arudishiwe elfu kumi.. Nakubaliana na jamaa alisema labda huyo mtu awe chizii.. Na Kama ni chizi basi swali libadilike iwe chizi aliiba......Simple calculation
Aliibiwa 100,000/=
Then aliyemwibia (mwizi) hicho kiasi akakitumia kununua bidhaa hapo hapo dukani.
There fore
Hapo hakuna loss wala profit (hesabu yake imebaki vilevile kabla ya kuibiwa)
Next scenario
Jamaa baada ya kurudisha zile pesa alizoiba
Akaagiza bidhaa zenye thamani ya tsh 90,000/=
Na baada ya hapo akampa chenji ya tsh 10,000/=
Hapo inakua jumla ya
90,000+10,000= 10,000
Hivyo pesa aliyopoteza jumla ni tsh 100,000/=