Laki mbili mzee babaMwizi alimuibia mwenye duka shilingi laki moja baadae akarudi na hiyo pesa amanunua vitu vya elfu tisini na mwenye duka bila kujua akamrudishia chanji yake ya elfu kumi
Je mwenye duka alipoteza kiasi gani cha pesa?
HATA INZI AKIACHA UJINGA ANAWEZA KUTENGENEZA ASALI KAMA NYUKI
Kivipi au nimekula ×××Umechemsha sana mzee baba
Low IQLaki mbili mzee baba
100,000 (-90,000+90,000) +10,000 = 110,000Son mkuu umechemsha jaribu kupitia tena
Ufafanuzi?100,000
Naomba clarification kidogo mzee babaUpo vema mkuu
Tunaposema mtu kanunua vitu vya 90,000 maana yake ni kwamba alitoa 90,000 na akabaki na 10,000, na huyo mwenye duka akampa tena chenji ya shs.10,000, kwahiyo 10k aliyobaki nayo + bidhaa za 90k + chenji ya 10k unapata 110k; unless otherwise lugha ndio tatizo.Upo vema mkuu
'Kapoza' unamaanisha nnDon ,mwenye duka atakuwa kapoza iliyoibiwa tu ,mengine kafanya biashara kama biashara zingine
Nimekupata mkuuTunaposema mtu kanunua vitu vya 90,000 maana yake ni kwamba alitoa 90,000 na akabaki na 10,000, na huyo mwenye duka akampa tena chenji ya shs.10,000, kwahiyo 10k aliyobaki nayo + bidhaa za 90k + chenji ya 10k unapata 110k; unless otherwise lugha ndio tatizo.
Nimeelewa hakika hesabu utakiwi kukurupuka [emoji122] [emoji122]Mkuu Ebenezer read my thread between the lines