Mkuu mbona huyo mnyama mbona katia pozi haonyeshi dalili za kufumwa? Nilitegemea hapo uso ungebadilika, inawezekana ni igizo hilo ila kama ni mimi ndiyo demu kanifanyia issue kama hizo nikampata live, mimi ningegeuka na kuendelea na issue za maana. Issue kama hizo hazinisumbui kabisa, ataaamua mwenyewe arudi au aelekee anapoona ndiyo muafaka.