Ukimfumania mpenz, mke, mume wako live bila chenga na mtu mwingine utachukua jukumu gani ambalo angalau ukifanya hilo nafsi inatulia kidogo! I like to hear from you best friends kwa wale walio wahi kutokewa watusaidie wengine kabla janga halijatokea
Kuna kisa nlisoma, Mama mmoja alimfumania mumeo na kimada flani so ili amsamehe mume wake alimzungusha kijijini uchi wanyama kwa mda wa siku tatu. Hebu jaribu labda itafaa.
Sifanyi chochote zaid ya kumuacha on the spot. Kupigana kumeshapitwa na wakati, usije kujaribu. Ukimuacha mtu kwa wema atakuja kuumia mbeleni kwa kukumbuka.