Kwa kuwa sikuwa safari, na asubuhi nilimuaga kama kawa nikamwambia naenda kutafuta ugali wake, yeye akaenda kujitafutia kidumeee, mi nanyamaza kimya, na kama wamo chumbani nawaandalia chai nawapelekea hapo ndani halafu niondoke.
Nkirudi, sisemi na huyo mwanamke la kheri wala la kshari. Mpaka atakaponieleza nilichokosa ndani yangu au nilichopungua kwangu.
Huenda mi ndo tatizo. Wataalam wanasema, mwanamke usiye mtosheleza kitandani ni mmbaya kuliko nguchiro kichakani. Akisikia hadithi za wenzake wanaofikishwa kileleee mate humtoka na aweza kutumia hata chupa. So, yawezekana mi ndo tatizo