Fumanizi

Mkuu kwanza,huyo shemejio anamakosa ! Pili huyo rafikiyo akae na huyo mkewe amuulize tatizo lake huenda jamaa yako ni mtu wa mastress kwa mkewe ,mwisho wakapime afya zao kabisaa then ye ndo mwenye maamuzi hata biblia imesema mke aachwi bali kwa uasherati so aamue mwenyewe amuache ama amsamehe waendelee na maisha ...over!!
 

Alimwambia aseme ukweli ili amsamehe, ndiyo akasema anafanya kazi jengo moja, akitoka anamsaidia lift jion wakati mwingine asubuhi, akamtongoza, Sasa aliogopa kumkatalia kwa kuhofia kunyimwa lift, akawa anamrusha rusha, mwisho wa siku jamaa alimzidi ujanja akajikuta anatembea nae, ila amekataa kusema ametembea nae mala ngapi.
 
Tangu jf ianze kumekuwa na watunzi wa story wengi kweli hehehehe eti akamwambia mkewe nimepata emergency! bila hata kuuliza naye anaingia kwenye gari,halafu anachukua vijana 3,halafu wanaelekea maeneo,mkewe anaambiwa tangulia naye anatangulia hehehee bila kuuliza vijana wa nini.
 

aisee!! Yani amemkana mumewe kisa lifti?duh uamuzi upo mikononi mwa rafikiyo !!
 
aisee!! Yani amemkana mumewe kisa lifti?duh uamuzi upo mikononi mwa rafikiyo !!

Hawalali chumba kimoja Sasa hivi jamaa kimemuuma sana, ila anapenda mkewe nadhani ndiyo sababu iliyomfanya kushindwa kuchukua uamuzi mgumu.
 
story kama sii ya kweli vile....mke anakubali kutoka na mumewe ndani ya gari vijana watatu??simu yake hakuangalia ??hawakuwasiliana?anyway

mke kashamwambia kwanini alimchet cos jamaa anampa lifti haina haja kujua walifanya mara ngapi kwa maana haitosaidia katika mda huu...kikubwa ajue mkewe kashamegwa

biblia yaruhusu kuachana kwa kosa la uasherati but in other side jamaa ajiulize haya
1...hajawahi kumcheat
2...wakiachana mtoto anahitaji malezi ya wazazi wawili itakuweje
3...je mkewe ndo mara ya kwanza kufanya hayo??
4...je kuna mema ambayo mkewe kamtendea??
all in all hakuna mkamilifu amsamehe mara saba sabin achane karatasi ya talaka aanze maisha mapya japo inauma wacheki na afya

WAFANYE TOBA NA KUMRUDIA MUNGU HASA HUYU MWANAMKE
 
hivi kisa cha kwenda kushikana mashati na mtu kwasababu ya papuchi ni nini?
wewe hujawahi kukutana na papuchi za maana,,kuna papuchi taamu ajabu yaani hata usikie waziri mkuu anazengea mkeo utataka kuenda kupigana...papuchi mnato,taamu,ina joto kama jiko la mkaa la udongo..hapana chezea ww...naongea nikiwa na uhakika kabisaaaaa
 

only lift????wa kweli huyu mwanamke ni kiboko... inaumma kama jamaa anampenda mwambie amsamehe tuu.
 

Czan kama atakua hajaelewa.
 

true story! Jamaa alikuwa haongei njiani na anaendesha gari speed, mke hakua akijua kitu, hakutegemea kama ni issue yake, alihisi kuna ugonjwa au ajari. Nahisi jamaa alimfanyia mambo Mengi akashindwa kumnyima, akaona ampe mala moja kutoa lawama ndiyo ikajenga mahusiano rasmi.
 

Haaah haaaah! You made my day! Utaijuaje bila kuonja?
 
Rich Pol, hili fumanizi sio lako kweli? sema ukweli ndio nitakushauri
 
Last edited by a moderator:
hapo hana mke kwasababu huyo dada hata acha, nina rafiki yangu tena tunaishi jirani yuko kama huyo dada habadiliki na mbaya zaidi yeye kila atakaemtongoza alimradi ana pesa ni twende na kwa kuwa ni mzuri sana basi ni kutongozwa kila siku anawapanga tu, yani ile ndoa yao ni bora ndoa
 
aisee....!

bado nimepigwa na bumbuwazi! how comes ndoa inachukuliwa kirahisi rahisi hivyo kama mchezo wa kuigiza? hajaolewa wakati ana mume jamani?:A S 13:


mkuu Rich Pol, naomba umalizie hicho kisa! jamaa baada ya hapo alimfanya nini mke wake?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…