Hivi mkuu ulifikiria kwa makini haya uliyoandika kabla ya kuyaweka hapa?
Nikisema mimi wanasema mwanamaLundi ni mkorofi. Hebu mwambie wewe. Labda atakusikia. Kama hana cha kuandika anyamaze kimya kabisa, milele na hata milele.Hivi mkuu ulifikiria kwa makini haya uliyoandika kabla ya kuyaweka hapa?
Habari zenu wana-MMU!
Katika jamii zetu kumekuwa na matukio ya kufumaniana kila kukicha na hii imekuwa jambo la kawaida sana,.
Katika nyumba nyingi za wageni matukio haya yanashika kasi sana ukizingatia mambo kama haya ni kuingilia faragha ya wapenzi,.
Watu wanapoingia gesti ni vyema wakapewa ulinzi tosha mpaka hapo watakapomaliza haja zao pasipokuingiliwa na watu wengine,.
Inashangaza sana mtu anapata mwanya wa kuingilia faragha ya watu wanaojipa raha zao,.
Hata kama ni mpenzi wako ni vyema ukavumilia mpaka hapo watakapomaliza haja zao maana angekuwa mpenzi wako kweli asingekufanyia anachokufanyia kwa wakati huo,.
Wamiliki wa gesti ni vyema mkaboresha ulinzi ili asijekutokea mtu ambaye anataka kuingia kwenye chumba cha wapenzi wanaopeana raha zao maana hii inapelekea kuleta vurugu kubwa na hata kusababisha mauaji ambayo yangeweza kuepukika kama ulinzi ungeboreshwa maeneo hayo!!
Hivi mkuu ulifikiria kwa makini haya uliyoandika kabla ya kuyaweka hapa?
wengi wao wanaofumaniwa huwa wanaenda guest za bei chiiiini!!!!
kama hamtaki mafumanizi muwe mnaenda hotel kubwa kubwa hapa mjini kama kilimanjaro hotel - kempinski!!
hapo nani ataingia na pangaaaa??? hamnaaa!!
sasa muone kama huyu!! acheni mfumaniwe tuu!!
umeoa?????????????
umesahau makutano yetu??Umenitafuta wapi? 😛eace:
Habari zenu wana-MMU!
Katika jamii zetu kumekuwa na matukio ya kufumaniana kila kukicha na hii imekuwa jambo la kawaida sana,.
Katika nyumba nyingi za wageni matukio haya yanashika kasi sana ukizingatia mambo kama haya ni kuingilia faragha ya wapenzi,.
Watu wanapoingia gesti ni vyema wakapewa ulinzi tosha mpaka hapo watakapomaliza haja zao pasipokuingiliwa na watu wengine,.
Inashangaza sana mtu anapata mwanya wa kuingilia faragha ya watu wanaojipa raha zao,.
Hata kama ni mpenzi wako ni vyema ukavumilia mpaka hapo watakapomaliza haja zao maana angekuwa mpenzi wako kweli asingekufanyia anachokufanyia kwa wakati huo,.
Wamiliki wa gesti ni vyema mkaboresha ulinzi ili asijekutokea mtu ambaye anataka kuingia kwenye chumba cha wapenzi wanaopeana raha zao maana hii inapelekea kuleta vurugu kubwa na hata kusababisha mauaji ambayo yangeweza kuepukika kama ulinzi ungeboreshwa maeneo hayo!!
umesahau makutano yetu??