KabisaHahahahaha asije akachanika sio?
🙏🙏🙏Nikithibitisha tu napiga chini kesho yake anaingia mwingine mkuuEndelea kuchunguza unanyoweza lakini asijue kama unamchunguza wala usionyeshe kama unamashaka nae
Kaka kuishi na anayechepuka ni sawa na kukaaa na laana ndani Bora tupigane chini tuSema unataka nini usaidiwe, ila uwe tayari kuamsha popo sio kulia lia kama pimbi yupo kwenye joto.
KUna vitu vya kumliza mwanaume siyo mahusiano, mwanamke mbona wapi wengiKuna umri ukifika hata usikie mwenzio anachepuka " kimoyo moyo unasema shauri yake"
Lakini umri bado,
damu inachemka mtafumaniana sana
🤣🤣 Kumpenda mtu SI lazima uishi nayeUmenikumbusha Imma alikuwa na demu wake tunasoma naye chuo. Yeye mwaka wa 3 demu wa kwanza. Tunampa data zote akafumanie.
Ima anamwambie demu sisi hatupendi mahusiano yao tunampa umbea. Dem anakuja kutuchamba "kama tunamtaka Imma atuazime tako"
Kwamba ntazikwa nazo au 🤣Kijana una heka ngapi za ardhi Hadi Sasa?
🤣🤣🤣🤣 Apana mkuuUjue kukwepa mtego, kwa huyo mke wa mtu unayepanga naye uzinzi, we subiri ufumwe uchezee tu.
Usipende mazima🙏🙏🙏Nikithibitisha tu napiga chini kesho yake anaingia mwingine mkuu
Mimi mwanaume napamban na kazi ngumu uko sembuse mwanamke ntamdrop ila kuoa siachi naoa mwingine💯💯