Fumanizi

Fumanizi

Davives

Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
86
Reaction score
106
Wakuu habar za jpil
Nina swali la uzushi apa kwa wanaume.
Ilikuwaje mpaka ukamfumania mke/mpenzi wako(yaani ulitumia mbinu gani) na ulifanya maamuzi gani baada ya kumfumania??
Twende kazi wakuu!
🙏🙏🙏
 
Hatukupi code Kwa namna hiyo.

Kama umegongewa sema Tu ili upone mana ukiendelea kuficha ndio utazidi kuumia..Sema hiyo kitu ikutoke.

Head line ni kwamba uwongo haujawahi kuishi.
 
Hatukupi code Kwa namna hiyo.

Kama umegongewa sema Tu ili upone mana ukiendelea kuficha ndio utazidi kuumia..Sema hiyo kitu ikutoke.

Head line ni kwamba uwongo haujawahi kuishi.
Ntasemaje kitu nisicho na uhakika nacho, nipo kwenye research
 
Sisi tulioenda jandoni kama tulikuwa tumesafiri, kabla ya kurudi nyumbani unatanguliza koti na zawadi nyumbani ili mwanamke ajue umerudi pia kama Kuna mgoni wako asepe usije ukamchinja ukaozea jela.
 
Wakuu habar za jpil
Nina swali la uzushi apa kwa wanaume.
Ilikuwaje mpaka ukamfumania mke/mpenzi wako(yaani ulitumia mbinu gani) na ulifanya maamuzi gani baada ya kumfumania??
Twende kazi wakuu!
🙏🙏🙏
Kwa nini umfumanie mtu?Ukimuona ana wenge unamuacha mara moja!
 
Ukiwa unamtaka mtu hata mpango wa kumfumania unakuwa huna
Umenikumbusha Imma alikuwa na demu wake tunasoma naye chuo. Yeye mwaka wa 3 demu wa kwanza. Tunampa data zote akafumanie.

Ima anamwambie demu sisi hatupendi mahusiano yao tunampa umbea. Dem anakuja kutuchamba "kama tunamtaka Imma atuazime tako"
 
Kuna umri ukifika hata usikie mwenzio anachepuka " kimoyo moyo unasema shauri yake"

Lakini umri bado,
damu inachemka mtafumaniana sana
 
  • Thanks
Reactions: EEX

Similar Discussions

Back
Top Bottom