fumanizi,usiombe kufumaniwa,valangati mtindo mmoja

hako kalichofumaniwa hta hakatamanishi:baby:
Mkuu ''Dont judge the book by its cover''. Nilichogundua ni kwamba bwana Abdulatif anapenda kitu ''Black Beauty'' sasa mamaa ndo ivo tena amewekelea weupe wa dukani kwanini asipigwe chenga?. Mhhh!
 
siungi mkono uzinzi lakini nadhani kuna umuhimu wa kuwa na sheria zitakazo mlinda mgeni akiwa guest house c'se huu ni upuuzi mtu kuingia direct mpaka chumbani na uongozi wa guest h upo, sasa kama ni jambazi au huyo mtu anataka kumdhuru mteja ni nani abebe lawama?
mfano hapo mteja anadhurika lkn hakuna juhudi zozote za kumuokoa. ulizni uimarishwe kwa kila guest house [lazima kuwe na walinzi 24hrs hata kama ni guest bubu] na mteja anapokuwa ndani ni mali ya guest h
 
TANZANIA BILA ukimwi HAIWEZEKANI.............................JESUS IS THE ANSWER.
 
Back
Top Bottom