Fumanizi la mama mwenye nyumba

Kwani huyu mdada anapatikana wapi? Huwa namuona ona sana kwenye status za watu
 
Siongei kinafini kwa sababu uzi wako unabamba kwa sasa mkuu Analyse ila wewe ni miongoni mwa wasimuliaji wazuri sana humu jukwaani ninaowakubali.

Huwa nikisoma story zako lazima nicheke mwenyewe kwa namna unavyotumia maneno yenye burudani sana.
Kikubwa zaidi ni kwamba huwa unamaliza kiu ya hadhira yako kwa kuendelea kuwa sehemu yao hadi mwisho wakati ukijibu kila swali unaloulizwa.

Suala la chai au sio chai dont give a damn man.
I am your fan!
 
Siongei kinafini kwa sababu uzi wako unabamba kwa sasa mkuu Analyse ila wewe ni miongoni mwa wasimuliaji wazuri sana humu jukwaani ninaowakubali.
Nashkuru sana mkuu kwa recognition yako.


Huwa nikisoma story zako lazima nicheke mwenyewe kwa namna unavyotumia maneno yenye burudani sana.
Lengo ni kuburudishana na kuelimishana inapobidi, nashkuru kusikia walau nimefanikiwa kwa kiasi Fulani katika ili


Kikubwa zaidi ni kwamba huwa unamaliza kiu ya hadhira yako kwa kuendelea kuwa sehemu yao hadi mwisho wakati ukijibu kila swali unaloulizwa.
Suala la chai au sio chai dont give a damn man.
Story tunaianza wote na kuimaliza wote, that's the rule.


I am your fan!

Mkuu nashkuru sana kwa ili. Nime-appreciate[emoji120]
 
Hapa umetufanyia ukatili,mbona hujatufikisha mwisho?yaani habari ya mwahija imeishia hewani jamani!🙄
 
Jombaa

Nakumbuka tu neno hiloo

Tuletee story ya mwahuja na Maza house ushaonana Naye Tena!!
 
Nakukubali sana mwamba Analye huwa nafurahia sana story zako kwani unajua sana kupangilia matukio kuanzia la kwanza hadi la mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…