Hahahaaaa akitusikia atatumaliza ila alipita hapa nashangaa kapotea ghafla.
Nyani uko wapi?????
Nani alikwambia?Hivi kwanini mwanaume anapofumaniwa na mkewe au mpenzi wake huomba msamaha na kusamehewa lakini unapomfumania mwanamke na jamaa mwingine hakunaga msamaha? Hapo huwa ndo mwisho wa mapenzi. Kuna nini kinachopelekea haya kutokea katika jamii.
Unajua tatizo wivu na mapenzi haafai ushirikiano kamwe, yan ukijua unaibiwa hata uombwe msamaha najua nitaendelea kuibiwa kwa sirisiri sana so its better kutengana tuWanaume weng hutumia ubabe wakifumania,ila wa'ke wakifumania wanasameh tu wanahuruma.but in general ukifumania wife/husb no msamaha me yanaishiaga hapohapo.
oops! Sio nyani, nilitaka kukwambia hamisi kishindindo ndio hasamehi. Samahani nyani kwa usumbufu uliojitokeza.
Wrong and immatureWanaume weng hutumia ubabe wakifumania,ila wa'ke wakifumania wanasameh tu wanahuruma.but in general ukifumania wife/husb no msamaha me yanaishiaga hapohapo.
Hahahaha BAK wewe ndio unanidai mimi, ngoja nijipange alafu ntakuibukia.
BTT. . . .na wewe ni mmoja wanaosamehe?
Samahani za kinafiki sipokeo. Craap x 100.
Craaap craaaap.
usisome hapa.
teh Husn nishajua unang'ata huku unapuliza.....
Hunipangii pa kusoma.
ushawahi kupigwa ngumi?
Hehehe yeahhh!!Hahahahaha dah!!!! Kumbe mimi ndiye ninastahili kulipwa lol! Haya banaaa nasubiri malipo yangu....Jipange tu wala usiwe na haraka ukiwa tayari basi nitonye tu....Mimi nasemehe sana lakini nina kikomo changu cha kusamehe ambacho huwa sijawahi kukipitiliza. Kama nimewahi kusamehewa sioni ubaya na mimi kusamehe.
Unajua tatizo wivu na mapenzi haafai ushirikiano kamwe, yan ukijua unaibiwa hata uombwe msamaha najua nitaendelea kuibiwa kwa sirisiri sana so its better kutengana tu
Hehehe yeahhh!!
Unaona raha kudai ehhh?
Unafanya vizuri kuwa na kiasi, sio mtu unapitiliza mpaka watu wanasingizia umelogwa.
Wrong and immature