Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Hahahaaaa akitusikia atatumaliza ila alipita hapa nashangaa kapotea ghafla.
Nyani uko wapi?????
oops! Sio nyani, nilitaka kukwambia hamisi kishindindo ndio hasamehi. Samahani nyani kwa usumbufu uliojitokeza.