Fumanizi hili

Dont Wash Your Dirty Laundry in Public..

Mke kapata faida gani kuutangazia umma?,
alichofanya kaleta aibu kwa mumuwe na familia nzima (au ndio yale ya kukata tawi huku umelikalia?)

The main culprit ni mwanaume, where is he?

Waandishi hawajawa proffessional, harassment kwa mkosaji, they are just after news by any means necessary

Mkosaji kazaa na Mwanaume..., doesnt she deserve any sympathy?

:pray2::pray2: Naomba Mungu aniepushe nisije kutana na mdada kama huyu.....,
 
This is pathetic.....harafu when people dont take you serious mnalalamika. Hata huyu mama mwenyewe..she could do better than that! I am sorry to say..lakini mama na dada zetu sometimes mnajidhalilisha wenyewe..na mnawapa nafasi wanaume ya kuwasema unfairly. Too bad that in our real world we live in..huyu mama anachukuliwa kurepresent idadi kubwa ya mama zetu. ..and its tough.....to wish it away...mume kalala zake chumbani..anasubiri aletewe supu...duh!
 
Kama Ya YESU vile asie na Dhambi awe wa kwanza kumtupia Jiwe.....Hawa watangazaji wenyewe wote ni Malaya akuna ata mmoja mwenye MUME Mumewe...wote wanatunzwa na waume za watu tena wengine zaidi ya watatu.mishahara yao azidi ata laki 6. Lakini kwa week wanaspendi zaidi ya laki 2 na kodi za nyumba zao ni zaidi ya laki3 kwa mwezi, wana magari na blackberry za kulipia kwa mwezi.
Ni aibu kumzalilisha shost mwenzao
 
Dont Wash Your Dirty Laundry in Public..

Mke kapata faida gani kuutangazia umma?,
alichofanya kaleta aibu kwa mumuwe na familia nzima (au ndio yale ya kukata tawi huku umelikalia?)

The main culprit ni mwanaume, where is he?

Waandishi hawajawa proffessional, harassment kwa mkosaji, they are just after news by any means necessary

Mkosaji kazaa na Mwanaume..., doesnt she deserve any sympathy?

:pray2::pray2: Naomba Mungu aniepushe nisije kutana na mdada kama huyu.....,

Hapo kwenye red, Yaani kama ulikua kichwani kwangu... maskini... no one will ever confide in her or even take her seriously!!!!
 
Maisha ya binadamu hayawezi kuwa safi siku zote na ikitokea hivyo basi ujue uko kwa Muumba wako. Hapo kama mm sifanyi kitu naiachia nature. This is what makes life life. Endeleeni kufumaniana na mutuwekee kwenye net tufurahi.
 
Well, hakuna kitu kibaya kama kumfumania mpenzi wako, tena nyumbani kwako na hasa kitandani kwako.

Huyu mke kamkomesha mgoni wake au mumewe?

Likikutokea, utafanyaje. Assume nafasi yeyote kati ya hawa watatu.

Mie naona mke kacheza game zuri maana angepiga kelele alipomuona binti asingejua hayo yote kuwa pia mumewe kazaa nae na pia wakwe zake wote wanajua na wanalea mtoto. Amewaonyesha kuwa atawakomesha wakimwingilia au kutaka kumfukuza kwa mumewe mwarabu wake ma kiss kiss
 
Last edited by a moderator:
heheheehhe...
Mie naona mke kacheza game zuri maana angepiga kelele alipomuona binti asingejua hayo yote kuwa pia mumewe kazaa nae na pia wakwe zake wote wanajua na wanalea mtoto. Amewaonyesha kuwa atawakomesha wakimwingilia au kutaka kumfukuza kwa mumewe mwarabu wake ma kiss kiss
 
sana tena waona sasa mi mambo yeshakuwa fresh bila matatizo tatizo la wanawake hapo hawaelewi wafanyacho kazi kumdhalilisha mwenzao tuu.
Mi wameniboa sana,unaacha mumeo mzinzi una deal na mwanamke ambaye hujui hata mumeo alimdanganya nini hadi kuja hapo kwako......

Nafikiri wangekuiga wewe......lol :laugh::laugh:
 
Maisha ya binadamu hayawezi kuwa safi siku zote na ikitokea hivyo basi ujue uko kwa Muumba wako. Hapo kama mm sifanyi kitu naiachia nature. This is what makes life life. Endeleeni kufumaniana na mutuwekee kwenye net tufurahi.

Ili kuwe na fumanizi lazima kwanza ufanye udanganyifu kwenye mahusiano, wewe umeshakubaliana na udanganyifu huo.

Nawe utafurahisha kwenye net siku ukifumaniwa. This is what makes life life.
 
:clap2::clap2::clap2::clap2: huwezi jua kama hii hatua alochukua wife ni ya kwanza au alitumia mbinu zote kashindwa mwisho kahamua kama ni noma na iwe noma. Aaah. Yeye hajazalilishwa ni mumewe na huyo malaya. Utendaje lala kwenye chumba cha mwenzio eti amesafiri. Mliishiwa ela ya Guest. Mkome. Kuibiwa mume kubaya simuliweni tu. Watu wanaua unasema kuto kwenye vyombo vya habari. Toa dada kwa raha zako na wao waumie.
Mie naona mke kacheza game zuri maana angepiga kelele alipomuona binti asingejua hayo yote kuwa pia mumewe kazaa nae na pia wakwe zake wote wanajua na wanalea mtoto. Amewaonyesha kuwa atawakomesha wakimwingilia au kutaka kumfukuza kwa mumewe mwarabu wake ma kiss kiss
 
  1. huyo dada aliyetembea na mume wa mtu hakufanya kitu kizuri kabisa na akili yake nadhani si sawa kukubali kwenda kwenye nyumba ya mwanaume anayoishi na mkewe na kukubali kullala humo ndani hii si akili ya kawaida!
  2. huyo mwanaume naye aggrrrrrr., mpuuzi wa mwisho mtu una mke unaleta mwanamke mwingine kwenye kitanda unachoshare na mkeo?? laana zingine zinatafutwa kwa gharama sana what a shame to him, family n wife aiseeeeee
  3. wife ndio bogus kabisa stupid wife material ataendelea kuletewa wanawake hadi hadi achakae, anamwitia mwanamke mwenzie mwizi while kaja ndani kwake na mumewe???why not dealing with the cheating husband???anahangaika na mwanamke ambaye upande wa mumewe wote wanamjua kuwa kazaa na mumewe!!aliyesema mwalimu wa wanawake kipofu hakukosea
  4. n the so called journalists!!???aibu zao udaku tu ndio wanaweza wat a shame??? mbona wadhalilishaji hivyo?wako biased, wanaside na one side of the strory, the way walivyomtreat huyo mdada???hivi wamesoma vyuo gani hao wadada wanadhalilisha hiyo taaluma,they r unprofessional and they have just proved it for wat they have done poor them
 
Ama kweli dunia hii ina mambo, wakati mwingine nafikiria hakuna hata haja ya kuyafahamu yote, lakini ukikutana nalo basi tena unasema tu hivi na hili linafanywa na mwanadamu kweli??

Sasa ninyi wanaume kwa nini lakini?? Daaa na sisi wanawake Mungu atupe neema ya kufikiria sana kabla ya kuamua manake Tumeumbwa kwa ajili ya kuvisaidia hivi viumbe wanaume, wakati mwingine hata ktk mambo ya ajabu kama haya. Lakini je ni moyo upi jamani ambao utabeba yote myafanyayo? Mwataka tufanye siri, tuwe na hekima, tuwe na uvumilivu, lakini wakati mwingine tunachoka pia.

Na tukichoka ndo mambo kama haya yanatokea, Jitaidini basi wanaume kuwa watu na kujali utu jamani. Hivi kweli unaniletea kitandani hata nikiamua kukuchinja na kisu utasema sina hekima kweli?? Jamani Moyo nao Unachoka kubeba.
 
Back
Top Bottom