Fulsa ya kuandika kwenye Website

Fulsa ya kuandika kwenye Website

TheGreatASA

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
302
Reaction score
391
Hello wadau.
Fulsa imetolewa bure ya kuandika kwenye website. Website hii ni engineering blog, wadau wote wenye interest ya kuandika na kutaka ku share mambo mbali mbali ya kitaaluma wanaweza kufanya hivyo.
Wahandisi, wanafunzi wahandisi, na wengine wote wanaoweza kuandika maada yoyote inayohusu engineering wanakaribishwa.
Kwa taarifa zaidi tufuatilie hapa 👇:

 
Back
Top Bottom